Hifadhi ya Asili ya Cova-Paul-Ribeira da Torre
Mandhari
Hifadhi ya Asili ya Cova-Paul-Ribeira da Torre, Ipo mashariki mwa kisiwa cha Santo Antão, ni mojawapo ya "mbuga za asili" kumi katika nchi ya Cape Verde . [1]
Eneo lake ni kilomita za mraba 20.92. [2] , Hifadhi hiyo iko kwenye orodha ya majaribio ya maeneo ya Urithi wa Dunia . [3]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Bonde la Paul linaloangalia baharini Eneo- kilomita 20.92 (8.08 sq mi)
-
Eneo linalozunguka bonde la Cova
-
Ribeira da Torre na bonde lake
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Parques Naturais, Áreas protegidas Cabo Verde
- ↑ Resolução nº 36/2016 Archived 18 Januari 2021 at the Wayback Machine., Estratégia e Plano Nacional de Negócios das Áreas Protegidas
- ↑ Parc Naturel Cova, Paúl et Ribeira da Torre, UNESCO
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Asili ya Cova-Paul-Ribeira da Torre kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |